Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Mimi niko single namtaka Miss Natafuta!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu anaweza akaingia kingi???Usilogwe kwenda kumtongoza.... Hutaamini
Vizuri akinijua[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]ameshajua
yeah chezea mkunyenge weweMkuu anaweza akaingia kingi???
Hahahaaaa,,,,ataniua kwa stroke sasa maana namkubali mnoyeah chezea mkunyenge wewe
Aiseee miss natafuta,Anabidi asikie kilio chako aiseee ,nimuda mrefu sana unampambania huyu mwanamkeMimi niko single namtaka Miss Natafuta!
Mama ,umetatua tatizo lako?.yeah chezea mkunyenge wewe
Ni kwel Mimi Niko singo, namaanisha sina mke... Ila kwakua watoto wazuri mko wengi, kuanzia wa form three hadi wastaafu sina budi kuchapa.Habari za weekend
Jaman hebu tupunguze uongo kila mtu anasema yupo single Hana mpenzi.
Wengine mnaishi na wake na waume zenu lakin kutwa kujisifia na kulalamika nimeachwa na mpenzi wangu.
Alafu tabia ya wanaume mliooa kuwa na wivu wakati wa kutongoza mnaitoa wapi eehh hampendi Wadada tuwe na wapenzi kwanini lakin mnakuwa hivyo alafu cha ajabu hata nikikubalia hutanioa muache hiyo tabia.
Wengine kila week anatafuta mchumba love connect mnabana nafasi inaonesha una gundu kuanzia mtaani mpaka huku Jamiiforum mjirekebishe .
Na nyie mnaokataliwa pm kuleta hasira kwenye comment jiandaeni Kwa block tu hamna namna.
Jamanii hakuna mtu anaweza kuwa single La sivyo ni mwanachama wa CHAPUTA.
Anaringa na chura yake hataki ndoto zangu za kuipiga piga makofi itimie siku moja!Aiseee miss natafuta,Anabidi asikie kilio chako aiseee ,nimuda mrefu sana unampambania huyu mwanamke
Nitaleta mrejesho hapa kwa kitakacho endeleaMama ,umetatua tatizo lako?.
Mkuuu no matter wat aiseee ,,lazima awe naroho ya huruma nayenye upendo .Anaringa na chura yake!
Hao wa form 3 karibu nyuma ya nondo za magerezaNi kwel Mimi Niko singo, namaanisha sina mke... Ila kwakua watoto wazuri mko wengi, kuanzia wa form three hadi wastaafu sina budi kuchapa.
Aaahhh basis sawa ,tuwe tinajulishana basi maana pengo dawa yake nikuzibwa.Nitaleta mrejesho hapa kwa kitakacho endelea
Anadharau hii avatar yangu,anaona mimi sistahili wala sina sifa ya kuipiga piga makofi hiyo chura yake!!Mkuuu no matter wat aiseee ,,lazima awe naroho ya huruma nayenye upendo .
Roho yauchungu juu ya utu wamtu ,roho yamwanamke ambao huwa nayo pindi labor akisukuma kwanguvu kiumbe kitoke.
Miss natafuta ,,popote ulipo ,, rafiki yangu kipenzi Behaviourist nimuda mrefu sasa tafadhali mtazame kwa macho miwili na umkabizi moyo wako.
Miss Natafutamimi nipo single jamani.
Duuhhh Anakosea sana,kukujaji kwa avatar tu ambayo sio kitu .....Anadharau hii avatar yangu,anaona mimi sistahili wala sina sifa ya kuipiga piga makofi hiyo chura yake!!