JamiiForums kila mtu yupo single

JamiiForums kila mtu yupo single

Mkuu siri za kule pm usiweke hapa!![emoji115][emoji23][emoji23]
Aaahhh chukulia poa tu mkuuu ila mazungumzo yamchana ,napicha analotoa Miss natafuta hapa ,limenifanya nimwambie tuuu. Ila man ,,mtoto amekupagawisha sanaaaa maana mpaka nikahisi mtoto labda ameshawahi kukufanyia jambo lakipekee sana.
 
Wewe unaogopa kwenda SegeDansi? Mimi sero yangu ni main gate chini ya uangalizi wa ma-MP.. La hasha ni lindo siku saba ila kwa amri ya OC.
Tia mimba huyo form 3 ili ufukuzwe jeshini kwa aibu halafu ushitakiwe kiraia by the way siogopi jela nitaenda ikibidi ila sio kwa kutembea na vitoto hivyo wake za watu.Kingine na wasiwasi pale main gate hujawahi kupata extra~drills labda uliowaona wenzako wakifanyiwa hivyo
 
Raia mna hatari sana. Mnatongozana humu JF hamfahamiani ata kwa kuonana tu, na mnaenda kupandana!
 
Back
Top Bottom