Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aisee!! unafanya nini humu mkuu? ebu kuwa mtu mzima
tatizo lako unataka chochote kiandikwe na kupostiwa??
hauko fair
JF hawako biased wala upande wowote na wamethibitisha hilo kwa kuvamiwa
hoja yako haina mashiko, unaonekana uko nyuma ya wakati au hauoni reality
Walikuwa wengi wengine hawakushikwa.....wapo mtaani..Mkuu Mbona kipindi jamaa wako Selo JF ndio ilikuwa imevamiwa na haipo kabisa?
Nadhani kukamatwa kwa vijana wa IT, kuvamia ofisi za LHRC na JF kuwa hacked vina uhusiano kukiwa na lengo la kuzuia jamii kupata taarifa huru kinyume na zile za NEC.
Kwa upande mwingine sioni kwa nini niwape pole maana mlionekana mko upande wa team 'nchi haitolewi kwa karatasi' ndio mjitambue sasa.
Kujipendekeza kwenu kipindi cha kampeni kumewa-cost.
Ni kweli kabisa na inawezekana walioshambulia wamo humu humu JF.Kijana mmoja a genius(in IT)ambaye alikuwa mmoja wa washambuliaji, alinieleza jana jinsi walivyotumiwa kwa ajili ya ku-rig uchaguzi na kuhujumu JF.Walikuwa wanalipwa take home kwa siku T.sh1,000,000, everything else paid.Ni umafia kabisa,there is no other word you can describe the nature of the action.
Ni ukweli usiopingika kuwa jamii forum ni mahali mahususi pa kupata taarifa za haraka.
Tunaungana nanyi ktk kuulaani uharamia huo. Kwa kuwa mnajua mnawindwa badilisheni mbinu zenu za kujihami.
Nawatakia kila la heri Jamii forum na watumiaji wote wa mtandao huu.
Poleni ,lakini mmeonyesha ukomavu katika IT.Tunawaunga mkono .