kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
karibu shunu. mia
...Karibu Dume la Kanda a k a shybush bweni la chui.. karibu na bonde la miwa the highway to Ganzo....
aisee mie ntakuuliza maswali personal yanayontatiza mapenzini afu ole wako ung'ateng'ate vidole
Uwe unatoa like basi khaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!
Mi nipo hapa Kizumbi chuoni
mimi nipo Tinde naelekea IsakaHii ni kwa wana jamiiforums waliopo Shinyanga tu.. please karibu humu tujuane.. na tuweke mkakati wa kuitangaza JF Shy!!
Ng'wangaloka wabhabha na wa mayoh..
ng'wamisha kinhenhe?
Buhangija in da haus
Ilikuwa enzi zetu mi mzee wa Tembo babu
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Wana Shy Wing njooni Rock City Wing December kutakuwa na ugeni wa Arusha Wing aka wazee wa Bata aka Mabilionea!!!!!
....Asante best tunakuja japo nipo A town mpango mzima villa park
mmmhhh.....????
Wasukuma wa Shinyanga ndo wanaongea hivyo?
nali dalisalamauli hale bhabha?
Shunu iko Kahama mkuu
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums