JamiiForums Shinyanga wing: Ingia humu tujuane

JamiiForums Shinyanga wing: Ingia humu tujuane

aisee mie ntakuuliza maswali personal yanayontatiza mapenzini afu ole wako ung'ateng'ate vidole

Wory outta mama.. nita'stand firm kutengua vifungu vyote vya katiba ya mapenzi ili nikushauri..
 
Wakubwa sana..
Jumapili kikao.. Kama hujapata pm yangu, basi nijuze hapa!
 
Ha ha ha ha ha ha,lubhumbo,shinyanga vijijini.
 
Back
Top Bottom