....shybush in da haus a k a ukenyenge dume la kanda ganzoo
Wana Shy Wing njooni Rock City Wing December kutakuwa na ugeni wa Arusha Wing aka wazee wa Bata aka Mabilionea!!!!!
vp sie wa maswa bariadi meatu nakahama haituhusu...?Hii ni kwa wana jamiiforums waliopo Shinyanga tu.. please karibu humu tujuane.. na tuweke mkakati wa kuitangaza JF Shy!!
napajua
Jirani na Barabara ya Burundi!
Nyie mlishashakuwa wa JF Simiyu!!vp sie wa maswa bariadi meatu nakahama haituhusu...?
Wewe utakuwa unatokea ukenyenge au Mhunze, ulemhola mayu?Mie nimezaliwa huko nimekulia huki piaa wilaya ya Kishapu,,ila kwa sasa nipo Mwanzaa baba yangu yupo huko na muda si mrefu ntakua Shy
mhungula nyihogo kiyinza mwime auuu???Karibu kahama town, kama ww ni wa kahama please naomba 2juane