JamiiForums Shinyanga wing: Ingia humu tujuane

JamiiForums Shinyanga wing: Ingia humu tujuane

Mie nimezaliwa huko nimekulia huki piaa wilaya ya Kishapu,,ila kwa sasa nipo Mwanzaa baba yangu yupo huko na muda si mrefu ntakua Shy
 
Karibuni Talaga, ukipita Ngunga unafika au ukizungukia Ukenyenge wakuu basi pita bulimba then huyo Nhobola.
 
Back
Top Bottom