JamiiForums ukihitaji POVU, fanya haya..

JamiiForums ukihitaji POVU, fanya haya..

Mimi mwenyewe kama unanuka sikuambii nani anapenda povuuuu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Uniambie buana
Kwanza nnao uhakika sinuki [emoji12] [emoji12]
 
[emoji475] [emoji475] [emoji475] [emoji475] [emoji475] [emoji475] [emoji475]
 
Poovu kama haya
images(7).jpg
images(8).jpg
images(11).jpg
 
Hapo pa single mother watu huwa wanapovuka hadi wanaanza kuhubiri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenichekesha sana , maana nimewaza maneno ya wanaume wakiambiwa wanaume suruali au vibamia wanapovuka[emoji23][emoji23][emoji23] wanatoa laana zote
 
Aaàh wapi..unaweza kumwambia mtu na akakutolea povu zito . Njia sahihi ni kusema lakini

ni Vigumu kujigundua kama unanuka nimesoma na mtu ananuka mdomo ila ukimwambia hakuelewi anajiona yupo ok.
Mie naelewa na wanaonuka huwa nawaambia na wanafanya mabadiliko
Mtu asiyekubali kuambiwa akabadilika kwa issues ndogo kama hizi ana matatizo wallah!
 
Hapo pa single mother watu huwa wanapovuka hadi wanaanza kuhubiri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenichekesha sana , maana nimewaza maneno ya wanaume wakiambiwa wanaume suruali au vibamia wanapovuka[emoji23][emoji23][emoji23] wanatoa laana zote
Mkuu kuna nyuzi mbili niliingia leo
Mmoja wa masingle maza mwingine wa wanaume suruali yaani nilicheka ikabidi nianzishe hii thread [emoji16][emoji16][emoji16]

Kuna single maza mmoja alianza kutaja mistari ya biblia hadi nikasema huyu atakuwa sister aliyepewa mimba maana sio kwa u deep ule[emoji3][emoji3]

Jamaa mmoja naye kwa ule uzi wa Me suruali yaani acha tu
 
Back
Top Bottom