Mehek
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 7,473
- 10,426
Babuu na espyKapo gani kwa mfano?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Babuu na espyKapo gani kwa mfano?
Uniambie buanaMimi mwenyewe kama unanuka sikuambii nani anapenda povuuuu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Naenda kusema na hilo povu atakolokumwagia sii la nchi hiiWeeeewee ntakuchapaà ole wako
Aaàh wapi..unaweza kumwambia mtu na akakutolea povu zito . Njia sahihi ni kusema lakiniUniambie buana
Kwanza nnao uhakika sinuki [emoji12] [emoji12]
Bado tu unaendelea[emoji57][emoji57]
Mie naelewa na wanaonuka huwa nawaambia na wanafanya mabadilikoAaàh wapi..unaweza kumwambia mtu na akakutolea povu zito . Njia sahihi ni kusema lakini
ni Vigumu kujigundua kama unanuka nimesoma na mtu ananuka mdomo ila ukimwambia hakuelewi anajiona yupo ok.
Mkuu kuna nyuzi mbili niliingia leoHapo pa single mother watu huwa wanapovuka hadi wanaanza kuhubiri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenichekesha sana , maana nimewaza maneno ya wanaume wakiambiwa wanaume suruali au vibamia wanapovuka[emoji23][emoji23][emoji23] wanatoa laana zote
Numbisa povu la dunia amaaa [emoji23][emoji23][emoji23]