JamiiForums: Unaweza kuwa VERIFIED, fuata hatua hizi

Hii offer imekuja kipindi hiki ambacho kuna tunaopinga chanjo na JF kupitia ukurasa wake wa FB wanaipigia chapuo sana

unganisha DOTS........ 😎 😎 😎 😎 😎
πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Faida ya kuwa verified ni nini?
 
Maxence Melo
Ikitokea Kesi kama ile uliyolazimishwa kumtaja memba nadhani utalazimika kumtaja kama yupo na Verified anonymous ID. Hii ni kwa sababu mamlaka zitajua unaifahamu Hiyo ID.

Je Nikiverify ID yangu nawajibika Sasa kwa ninachokiandika? Kama nikifichua ufisadi wa Siro (mfano) nitalazimika kutoa ushahidi ee.
 
Taja tena faida au umuhimu wa kila point/hoja uliyotoa hapo.
 
Mkuu Maxence Melo hii budge rudisha blue ya awali labda hapo upunguze ukubwa wa budge tu.
Haka karangi kapya hakajakaa mkao.
Nawasilisha
 
Hahahah, aagh wapi, kuwa verified ni kujilimit, mtu inabidi uteme nyongo bhana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
We angalia mtu kama Pasco na mwanakijiji topic zao ni zile za kuibia mpaka uwe na jicho la tatu ndipo utagundua kapigwa mtu, vinginevyo hawawezi kupiga misumari ya nguvu hasa!.
 
Mkuu Melo inachukua wastani wa siku ngapi mtu kuwa verified?, maana naona bado nipo 'pending'
 
Sasa hii si itakua Facebook au Instagram? Ukimfahamu mtu atataka kutuma mapicha weekend alikua wapi.

Mkuu Maxence Melo, tunashukuru kwa hili. Hoja kuu mezani kwa sasa ni katiba mpya ya Jukwaa la Wakubwa, mchakato unaanza lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…