JamiiForums: Unaweza kuwa VERIFIED, fuata hatua hizi


hii kitu kwangu mimi inakaukakasi labda kwa wenzangu
 
Labda kama ni Kigogo2014 variants 😛😛😛😛

huyu bwana Mello tumemuamini kwa kiasi kikubwa sana siku akichukua maamuzi magumu humu ndani tutatafutana kwa toch[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

hii ishu inawahusu na watumishi wa uma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Naomba kuuliza
Just curious...
Sijui ni mimi tu
Kwa nini ukilog out screen colour inachange from blue to black?
Instinct tells me something different....
Naomba ufafanunuzi bandugu....
 
Siku hizi tunaweza kubadili username wenyewe?
 
Staff wa JF wanafurahisha sana ukiangalia waliokuwa verified utamkuta ni Melo pekee mtu unaweza jiuliza kwanini staff hawapo verified sasa maamuzi yao kwa member wa JF wanashughulikiwa vipi?.

Anyway inafurahisha tu. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naomba kuuliza
Just curious...
Sijui ni mimi tu
Kwa nini ukilog out screen colour inachange from blue to black?
Instinct tells me something different....
Naomba ufafanunuzi bandugu....
Itakuwa ni mimi na wewe maana hata mimi inafanya hivyo japo si mda wote
 
Nimechelewa kuuona uzi huu.

Shukrani kwa kurahisisha zoezi hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…