JamiiForums: Unaweza kuwa VERIFIED, fuata hatua hizi

Sasa hii si itakua Facebook au Instagram? Ukimfahamu mtu atataka kutuma mapicha weekend alikua wapi.

Mkuu Maxence Melo, tunashukuru kwa hili. Hoja kuu mezani kwa sasa ni katiba mpya ya Jukwaa la Wakubwa, mchakato unaanza lini?
Napendekeza ili mtu awe na access ya Jukwaa la Wakubwa ni lazima awe Verified member
 
Nini faida za mimi kuwa VERIFIED, na ni yakudumu?
 
Please do it for me, I'm a member of long time , niwekee tu na mie nijidai boojo.
 
Kila nikitaka comment naandika nafuta,naandika Tena Kisha nafuta

Anyway

MATAGA kazi kwenu kua verified mpige kelele na porojo mpate teuzi

Maisha yenyewe hata hayaeleweki

Fursa hiyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…