JamiiForums: Unaweza kuwa VERIFIED, fuata hatua hizi

Nimeingia kwenye hiyo website ila ninaona mapichapicha tu, kama ni moderator wahusika nitawapataje?
mapichapicha vipi ?, kuna fields mbili inabidi ujaze "username:" field na "Change reason:" field
 
Hapo kwenye ku verify kutumia hii ID yangu ya JF mlinigomea, kisa haiendani na Kitambulisho Maxence Melo
 
Mkuu na sisi Wahaya kwa nini tusiwe na exception identity? By the way karibu hapa Kitunda nina dumu la rubisi, njoo tupige moja mbili
 
Mkuu narudia kwa mara ya pili,nilituma hili ombi huko kikashani naomba nifutiwe nyuzi zangu zote nilizopata kuziandika humu Jf.Nyuzi hizo hazina tija,zifutwe!
 
endapo tutajiridhisha kuwa ID ni mtu tunayefahamiana naye na maudhui ya akaunti yake hayashushi hadhi ya badge husika;
Mkuu, Je ni lazima awe ni mtu mnaefahamiana nae ? Vipi kama mtu hamfahamiani nae, account yake ina maudhui chanya na hashushi hadhi ya Badge, Je mtamverify ? Akiomba request
 
Mkuu narudia kwa mara ya pili,nilituma hili ombi huko kikashani naomba nifutiwe nyuzi zangu zote nilizopata kuziandika humu Jf.Nyuzi hizo hazina tija,zifutwe!
Hahaha, nimecheka sana Mkuu, yaani nyuzi zako mwenyewe unaziita hazina tija [emoji23][emoji23] aisee!, Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…