JamiiForums Usiku wa manane

Kama kuku anavyofunika vifaranga wake,naomba Mungu awafunike nanyi muwe salama,mbarikiwe[emoji120]
 


Naangalia NBA (ligi ya Kikapu ya Marekani), niligegeda jana na demu alishaenda kwao, hivyo baada ya kuhamka sina la kufanya nawaza tu mtoto wa mwenye nyumba awe target yangu nyingine.
 

Waache kwenda kuroga waingie jf
 
[emoji524] MITHALI 3

24 Ulalapo hutaona hofu ;naam ,utalala na usingizi wako utakuwa mtamu.

25 Usiogope hofu ya ghafla,wala uharibifu wa waovu utakapofika

26 Kwakuwa BWANA atakuwa tumaini lako,naye atakulinda mguu wako usinaswe


[emoji523] USIKU MWEMA,BWANA YESU AWALINDE DAMU YAKE YA THAMANI IWAFUNIKE [emoji120]
 
AMUN RA
 
oooiii jamani aliekuwa macho ajitokeze bc ukiwa utaniuuwa mwenzeenuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…