Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Ndio maanaWewee ni mgeni JF? Kasie hajawahi wala hana mpango wa kuolewa. Na iko wazi sanaaa
BTW sio mgeni ila ni mpole humu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maanaWewee ni mgeni JF? Kasie hajawahi wala hana mpango wa kuolewa. Na iko wazi sanaaa
Ndio maana
BTW sio mgeni ila ni mpole humu
Kuolewa.. Au baada ya kuumizwa ukutaka tenaNdo nini!!!????
Kuolewa.. Au baada ya kuumizwa ukutaka tena
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmoja wapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nn kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11Asbh. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua nakunywa maji na kwenda kukojoa tu mpaka kukuche!
Kabisaa,na ikiwezekana amka sali na toka nje kabisaUkiona ikifika kuanzia saa 8 usingizi unakata, ujue Mungu anakuamsha ufanye ibada.
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmoja wapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nn kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11Asbh. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua nakunywa maji na kwenda kukojoa tu mpaka kukuche!
AMUN RA[emoji524] MITHALI 3
24 Ulalapo hutaona hofu ;naam ,utalala na usingizi wako utakuwa mtamu.
25 Usiogope hofu ya ghafla,wala uharibifu wa waovu utakapofika
26 Kwakuwa BWANA atakuwa tumaini lako,naye atakulinda mguu wako usinaswe
[emoji523] USIKU MWEMA,BWANA YESU AWALINDE DAMU YAKE YA THAMANI IWAFUNIKE [emoji120]
Mambo!ooooiiiii
sasa nalala usku usha ingia
Kumbe hii ndio maana halisi!?sio usiku wa manane usiku wa maanani.
Amin[emoji120]Namshukuru Mwenye Enzi Mungu kwa kunipa amani!