[emoji23] [emoji23] [emoji23] kikatalie buana! Kiambie una mtu wako [emoji85] [emoji85]jaman mkeshe salama..!! mimi naona kitanda kina nitongoza hapa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Unabadilisha tuhuma ya jana eeeh!
Nyie si mlijifanya hamfahamu mwalimu wangu wala somo nitakalofundishwa?
hahaha naona unataka nipige nilale wanipore smg mkuuKonyagi situmii, labda nikupe viroba nilivyopewa Nleterewa Nganengo juzi![emoji23] [emoji23]
Thad lala mama angu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] kikatalie buana! Kiambie una mtu wako [emoji85] [emoji85]
[emoji23] [emoji23]Kweli mtu na mshiki wake mmejipanga kunimaliza kabisa....kwani huyo KK ana pesa mingi eeh! [emoji12] [emoji12]
daah uongo dhambi ujue Sasa sina mtu[emoji23] [emoji23] [emoji23] kikatalie buana! Kiambie una mtu wako [emoji85] [emoji85]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hilo nalo neno [emoji40] [emoji40]Utaharibu interview!
Hewalaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona mwalimu na mwanafunzi mnaivana vilivyo.
Hilo darasa lazima mwanafunzi apate 99
Maana sio kwa kuelewana huko[emoji12]
Hahaha mngejua, sema damu ni nzito kuliko maji ntafanyaje[emoji12][emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyo shemeji mtu keshakula mahari nusu,kwa hiyo dada mtu naona anabembeleza kweli ili nusu iliyobaki imaliziwe
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Bora ubaki hapo maana anakuzingua
Hahaha itabidi haya mambo tuyazungumze sirini, hapa wakija hawachelewi kuzusha jambo[emoji39]Umeshanikana hadharani sitaki tena uwe mwalimu wangu.....labda unifundishe kubet [emoji12] [emoji12]
Yani acha tu huyu ana vineno vitammmmKiswahili kitamu jamani tuache masihara....
Unahisi kumhamu eeh! [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mnog'oneze hiyo nusu haitolewi yote kwa mkupuo, ndio imetoka hiyo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo maana jana ukatoa masharti magumu eti ajenge nyumba ukweni,amnunulie gari shemejie n.k[emoji23] [emoji23]
Jamaa ana kitanda na kagodoro ka inch 2 lakini nashangaa kinachomfanya mshiki wangu adate namna hiyo ni nini[emoji40] (hapa lazima watapovuka)
Hahaha viroba vya mchele sio[emoji12] [emoji125]Konyagi situmii, labda nikupe viroba nilivyopewa Nleterewa Nganengo juzi![emoji23] [emoji23]
Hivi ulisema ni jirani au shemeji yako? [emoji12] [emoji12]Yani acha tu huyu ana vineno vitammmm
Namtetea bhana kwakweli vineno vyako vinavutia. Sanaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Muone ulivyokuwa mchokozi
Unaendelea kuruka ruka tu ...kweli bisi ni bisi tu [emoji12] [emoji12]Sio mimi kwakweli, kuna Bundi wawili walioko mahabani ndo walikua wanasambaza huo uzushi[emoji40]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwakweli mpaka sasa sielewi hebu tuambie mwalimu wako nani na anakufundisha nini ili utata uishe[emoji40]
Hahahaha wallah, kumbe una 3-dimension eyes eeh, wallah kesho wakija hapatakalika hapa[emoji40][emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo maana jana ukatoa masharti magumu eti ajenge nyumba ukweni,amnunulie gari shemejie n.k
Ulikuwa unsmkataa kijanja eeh![emoji12] [emoji12]