Mkuu leo ni siku ya kublaze peke yangu,ninahitaji utulivu niweze kumeditate na kurelax.labda nkukaribishe jpili kwenye kilinge cha watu wazimaMkuu una roho mbaya, hatukaribishani kweli? Kumbuka unatakiwa kizuri ule na nduguyo
Kweli hicho kichwa balaa,sipati picha lugha gongana ijitokezayo vitu vikianza kukorogana humo kichwani![emoji23] [emoji23] [emoji23]Usijali Bibie kichwa changu sio cha mchezo mchezo,kimeshapiga testa vitu vya india,china,moroco,malaysia,california na kwengineko. kiko imara.
Wala vitu havikorogani besti nakuwa very alert but relaxed,akili inafanya kazi kama kawaida hapa hata ukinipa mtihani nafanya na nafaulu,hata unipeleke kwenye kikao/mkutabo ninakwenda na kuchangia vizuri tu.Kweli hicho kichwa balaa,sipati picha lugha gongana ijitokezayo vitu vikianza kukorogana humo kichwani![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nenda Masera wa watu nenda......ooops,...utaniua leo! M[emoji742]sERaT[emoji671] . Ushanipa kubwa leo ntakuota.Jamani,nina sign out. Sijamuona baba chanja wangu leo.
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Mbona unanikimbia jmb mimi ndio kwanza naingiaJamani,nina sign out. Sijamuona baba chanja wangu leo.
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Safi!humu ndani vepee..!!
asante.. hahaha...!! [emoji3] [emoji3] nilikua offline kidogo sababu ya majukumuSafi!
Naona mvua imeisha ndo umerudi......karibu tena [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Oooh! Hongera kwa kujukumika! [emoji106] [emoji106]asante.. hahaha...!! [emoji3] [emoji3] nilikua offline kidogo sababu ya majukumu
asante..!!mzima lakin wewe?Oooh! Hongera kwa kujukumika! [emoji106] [emoji106]
Niko poa sana aisee! Niliwahamu tu wewe na wenzio akina;asante..!!mzima lakin wewe?
Unatuachaje mkuu? [emoji4] [emoji4]Napita tu.....
kk namuona mitaa flani ila hao wengine sijui kama mvua imewaacha salama na simu zao[emoji3]Niko poa sana aisee! Niliwahamu tu wewe na wenzio akina;
Nleterewa Nganengo (mwl.wangu)
Kichwa Kichafu (jirani yake Neybright)
No Escape (mmiliki wa kampuni hii)
jje's (.....wa K.K)
Samaritan (anitishiae bawa)
Na wengineo...umewaacha wapi hao watu jamani? Inamaana wao bado wanajukumuka tu? [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Nawaacha kama nilivyowakuta mkuu ThadUnatuachaje mkuu? [emoji4] [emoji4]