titimunda
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 7,571
- 9,789
Mkuu leo ni siku ya kublaze peke yangu,ninahitaji utulivu niweze kumeditate na kurelax.labda nkukaribishe jpili kwenye kilinge cha watu wazimaMkuu una roho mbaya, hatukaribishani kweli? Kumbuka unatakiwa kizuri ule na nduguyo