JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mkuu una roho mbaya, hatukaribishani kweli? Kumbuka unatakiwa kizuri ule na nduguyo
Mkuu leo ni siku ya kublaze peke yangu,ninahitaji utulivu niweze kumeditate na kurelax.labda nkukaribishe jpili kwenye kilinge cha watu wazima
 
Usijali Bibie kichwa changu sio cha mchezo mchezo,kimeshapiga testa vitu vya india,china,moroco,malaysia,california na kwengineko. kiko imara.
Kweli hicho kichwa balaa,sipati picha lugha gongana ijitokezayo vitu vikianza kukorogana humo kichwani![emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kweli hicho kichwa balaa,sipati picha lugha gongana ijitokezayo vitu vikianza kukorogana humo kichwani![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wala vitu havikorogani besti nakuwa very alert but relaxed,akili inafanya kazi kama kawaida hapa hata ukinipa mtihani nafanya na nafaulu,hata unipeleke kwenye kikao/mkutabo ninakwenda na kuchangia vizuri tu.
 
asante..!!mzima lakin wewe?
Niko poa sana aisee! Niliwahamu tu wewe na wenzio akina;
Nleterewa Nganengo (mwl.wangu)
Kichwa Kichafu (jirani yake Neybright)
No Escape (mmiliki wa kampuni hii)
jje's (.....wa K.K)
Samaritan (anitishiae bawa)
Na wengineo...umewaacha wapi hao watu jamani? Inamaana wao bado wanajukumuka tu? [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
kk namuona mitaa flani ila hao wengine sijui kama mvua imewaacha salama na simu zao[emoji3]
 
Back
Top Bottom