Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
Hahaha naona mashtaka yashahamishwa, tafadhali malizana na Inna na Dingi alafu mashtaka yetu ulete keshoPole kwa safari mamy, nasikia Leo mmelala Chalinze wewe na nduguyo...
Ama kweli vyuma vimekaza vibaya mwaka huu.....
Hivi kwani lazima kuhesabiwa kila mwaka?[emoji4] [emoji4]
Mkuu nakula tiz hapa .. nimeambiwa soon nitakabidhiwa funguo za lango kuu.Karibu mkuu, ukifika getini usisahau kuvua viatu, sare zetu ni kaniki nyeusi na vitambaa vyekundu kichwani
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kinokia....au uchovu wa safari?
Maana kutembea kwa miguu kutoka kwa DAB mpaka mlima mrefu so mchezo (jamani mi naongea na simu hapa)
Unakimbia wapi rudi hapa unisikilize, mimi mwenyewe hata Sinza sipajui ila niliwahi kuhadithiwa na jamaa yangu aliyewahi kuishi Sinza[emoji41][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bilashaka una uzoefu wa kuhonga huko Sinza [emoji126] [emoji126]
Humu ndani mmenishinda tabia inabidi niachane na suala la kushtaki watu maana naona nitazidi kupoteza memba hapa...Hahaha naona mashtaka yashahamishwa, tafadhali malizana na Inna na Dingi alafu mashtaka yetu ulete kesho
Kwakweli leo nina mzuka sana wa kukesha sema ndo ivo wenye umeme wao wanazingua, kesho ngoja nikakatengeneze kainveta kangu angalau Solar iniassist[emoji6]Ohooo! yaleyale ya jana.....this time itabidi mshitaki ndo nikimbie na sio washtakiwa maana naona mashtaka yananizidi kimo sasa [emoji12] [emoji12]
Karibu komredi, ili kupata uzoefu zaidi usisite kua karibu na ThadMkuu nakula tiz hapa .. nimeambiwa soon nitakabidhiwa funguo za lango kuu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] yu salama salimini kwani mshiki wako hajakwambia kuwa kampiga marufuku kuja jf kwa kuwa alizidi ku-hunt?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata mimi nakuona unavyotafuta netweki, tafadhali hebu mwulize Dirty head yu salama? Ni wiki ya pili namtafuta hapatikani[emoji40]
Pole sana!Kwakweli leo nina mzuka sana wa kukesha sema ndo ivo wenye umeme wao wanazingua, kesho ngoja nikakatengeneze kainveta kangu angalau Solar iniassist[emoji6]
Kwakweli aje tu nimfunze maana Mimi ni bundi mzeefuKaribu komredi, ili kupata uzoefu zaidi usisite kua karibu na Thad
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Humu ndani mmenishinda tabia inabidi niachane na suala la kushtaki watu maana naona nitazidi kupoteza memba hapa...
Inna na dingimtoto wameenda tRNA kuchaji simu zao [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Wewe na mshiki wako nimewaona mkiitana nanyi mkachaji zenu [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Neybright na Kichwa Kichafu wametekana [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Manta ML na Maserati wanaogopa baridi [emoji18] [emoji18] [emoji18]
No Escape na alibakari wamesusia zamu niliyowapangia [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Basis bwana Mimi huku ndani sitasema nanyi tena nafunga mdomo wangu rudini [emoji40] [emoji40] [emoji40]
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] yu salama salimini kwani mshiki wako hajakwambia kuwa kampiga marufuku kuja jf kwa kuwa alizidi ku-hunt?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi mazoezi yenyewe ndo Yale niliyosikia eti huwa wanajikuta wamedondokeauvunguni au ni mengine.....[emoji12] [emoji12][emoji15] [emoji15] [emoji15]
Sisi haturuhusiwi kuambatana usiku ujue[emoji40]
Hiyo kwetu ni laana[emoji85]
Huyu mshiki wangu dirty head kuna mazoezi magumu atakua anampa sio kwa uchovu huo wa kila day[emoji40] [emoji125]
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Pole sana!
Njoo uchaji kwangu Mimi ninaumeme wa kiny**i cha paka[emoji12] [emoji12]
Mmmh! Akili yangu ishaunganisha dots ila mdomo nimeukataza kusema.....watu wasijeshindwa kurudi hapa bure [emoji4] [emoji4][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hizo taarifa sijazipata kwakweli, ila inaonyesha saivi hunter amenasa Tiger, kawa mtulivu kweli kweli (ln mukulu voice)[emoji40] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamani,na Mimi natafuta mtu wa kwenda kuchaji naye simu yangu ya Philips.....
Sio kweli,Mimi mbona haujaniunguzia simu yangu ya Philips na kuninasa?[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Dadeki bora nihamie Zimbabwe kuliko nikatumia huo umeme, nasikia ndo unaongoza kwa kuunguza vifaa vya electronics na kunasa watu[emoji3] [emoji3] [emoji40] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi mazoezi yenyewe ndo Yale niliyosikia eti huwa wanajikuta wamedondokeauvunguni au ni mengine.....[emoji12] [emoji12]
We sikutaki utanipoteza bure,umeshindwa kuchaji yako utaweza kunichajia yangu?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Twende nikuonyeshe nilipokua nachajia Phillips yangu[emoji39] [emoji6]