Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119]Mmmh! Akili yangu ishaunganisha dots ila mdomo nimeukataza kusema.....watu wasijeshindwa kurudi hapa bure [emoji4] [emoji4]
Basi ngoja nirudi kwako....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hilo swali aje ajibu mwenyewe kwakweli, na mimi nalisubiri kwa hamu kubwa[emoji40] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]We sikutaki utanipoteza bure,umeshindwa kuchaji yako utaweza kunichajia yangu?
Karibu sana kiongoziHodiiii
Karibu mkuu, KamweneHodiiii
Asante. Mambo vipiKaribu sana kiongozi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ngoja nikae kimya....hivi huo wimbo uliimbwa na Lucky Dube sio?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119]
Na kweli doti zako sio mchezo sijui unaziwekeaga nini mpaka zinamaliza chaji za watu[emoji12]
Poa poaAsante. Mambo vipi
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Basi ngoja nirudi kwako....
Nimekuona ukishuhudia jinsi unavyojikutaga umelalia kichwa baada ya mazoezi hayo,hivi hayo ni mazoezi gani lakini mbona mmeniacha hewani?[emoji12] [emoji12]
Kamwene! Mnogage....Karibu mkuu, Kamwene
Kwa kweli mchana sioagi,ila kuna mtu kanisimulia tu....nasikia mpaka umeamua ukapadrishwa kwa sababu unakerwa na hiyo hali ya kujikuta umelalia kichwa [emoji12] [emoji12] [emoji12][emoji15] [emoji15] [emoji15]
Huo ushuhuda nimeutoa wapi tena, punguza uchochezi asee[emoji57] [emoji12]
Mnofuela, Makasi..Kamwene! Mnogage....
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] hicho ni kimachame au kimarangu?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
No Woman No Cry kwakweli[emoji41]
Makasi huyu huyu mjomba wake Remy Ongara au mwingine? [emoji12] [emoji12]Mnofuela, Makasi..
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa kweli mchana sioagi,ila kuna mtu kanisimulia tu....nasikia mpaka umeamua ukapadrishwa kwa sababu unakerwa na hiyo hali ya kujikuta umelalia kichwa [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Kinyakyusa cha Nanjilinji[emoji3][emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] hicho ni kimachame au kimarangu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Naona unakimbia kivuli chako hapa.....Wifi yangu mlokole hajambo? [emoji4] [emoji4] [emoji4][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi mwenyewe nilikua nashangaa watu walivyokua wanafunguka, nikajikuta mimi mwenyewe ndo sijawahi kufanya hayo mazoezi, nikaona hapanifai nikasepa zangu[emoji85]
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] hicho ni kimachame au kimarangu?