Ndio maana nimeamua kuongeza mwanafunzi mwingine ktk darasa nitakalo kufundisha. Chaajabu naona kama mnakwepana yaani hampendi kukaa darasa moja [emoji23] [emoji23] [emoji23]Darasa la watu wawili mmoja akiwa mwanafunzi na mwingine mwalimu linaboa sana, kuwa mwalimu haimaanishi unajua everything, kuna vitu vipya tunajifunza kwa wanafunzi pia[emoji125]
Wacha weeh, umesahau mlivyokua mnapanga mikakati ya kuniengua alafu liingizwe toleo jipya tena bure kabisa[emoji40]Tafadhali usije ukanigombanisha na mshiki wako maana hana hizi habari za uanafunzi wa my love wake [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] aisee[emoji40] [emoji40]
Wewe wasema
Practical?Tayari nimepata majibu mkuu
Hahaha ni matumaini yangu mpaka baadae, asubuhi utakuta akili ishakua nene, usisahau kumjibu tafadhali[emoji40] [emoji125] [emoji125]Kwa kweli akili yangu nyembamba sana....huwa sielewagi chochote [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Huu uchochezi si wa njii hii (in Mrema's voice) Hilo jicho lako la 3 linakudanganyaWacha weeh, umesahau mlivyokua mnapanga mikakati ya kuniengua alafu liingizwe toleo jipya tena bure kabisa[emoji40]
Mshiki tafadhali kuwa makini kuna Moshi pande hii, moto uu njiani kuja[emoji125]
Huyo Mugabe tu akili yake haijanenepa itakuwa akili yangu kweli? [emoji23] [emoji23]Hahaha ni matumaini yangu mpaka baadae, asubuhi utakuta akili ishakua nene, usisahau kumjibu tafadhali[emoji40] [emoji125] [emoji125]
Hahaha dadeki, itakua ulizaliwa kipindi ambacho mfumo wa butter trade unakufa ndo tunaingia mfumo wa pesa kama medium of exchange[emoji57]Hili ukilifanikisha,nakuahidi kuwa nitahakikisha majaribio ya tongozo yanaanzia kwako.
Ila kuhusu ada itabaki palepale [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]Ni kwa sababu mpaka dakika hii hujui macho yako yako sehemu gani,hivyo unataka ugelezee jibu kwangu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha bundi Thad bhana, hivi umewahi kuona wapi mwanafunzi wa elimu bila malipo akachanganywa na anayelipa ada, hii inawezekana kweli?Ndio maana nimeamua kuongeza mwanafunzi mwingine ktk darasa nitakalo kufundisha. Chaajabu naona kama mnakwepana yaani hampendi kukaa darasa moja [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hapana mkuu mi nilizaliwa kipindi cha njaa kali iliyosababishwa na nzige,ndio maana hata akili yangu nyembamba ilikosa lishe ya kutoshaHahaha dadeki, itakua ulizaliwa kipindi ambacho mfumo wa butter trade unakufa ndo tunaingia mfumo wa pesa kama medium of exchange[emoji57]
Ila hunter sio wa mchezo mchezo kwakweli, yeye huwa anawinda live na wala mshiki hashtuki, hapa kuna kitu amelishwa sio bure[emoji40]Huu uchochezi si wa njii hii (in Mrema's voice) Hilo jicho lako la 3 linakudanganya
Anhaaah! Kumbe tatizo lako ni ada unayotozwa...si ungesema sasa? (in brother K 's voice)Hahaha bundi Thad bhana, hivi umewahi kuona wapi mwanafunzi wa elimu bila malipo akachanganywa na anayelipa ada, hii inawezekana kweli?
Nakataa kuwa Kaa. [emoji40] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo Mugabe tu akili yake haijanenepa itakuwa akili yangu kweli? [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hata msihangaike na mshiki wako,hakuna chochote alicholishwa zaidi ya nyama ya ulimiIla hunter sio wa mchezo mchezo kwakweli, yeye huwa anawinda live na wala mshiki hashtuki, hapa kuna kitu amelishwa sio bure[emoji40]
Ngoja akija kwenye kikao December tutashughulikia hilo jambo[emoji41] [emoji125]
Ila mwanamke mwenzetu yule nimempigia salute...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona imenenepa sana, unafikiri kuhonga nchi mchezo[emoji6]
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] Hapana mkuu mi nilizaliwa kipindi cha njaa kali iliyosababishwa na nzige,ndio maana hata akili yangu nyembamba ilikosa lishe ya kutosha
Hahaha naona umeamua kupiga U-turn ya ghafla, wacha nilipe tu ada kuliko nikakaa na hunter chumba kimoja cha darasa,[emoji40]Anhaaah! Kumbe tatizo lako ni ada unayotozwa...si ungesema sasa? (in brother K 's voice)
Hahaha, wacha weeh, nionjeshe basi na mimi hiyo nyama ya ulimi, angalau kakipisi kadogo tu[emoji85] [emoji85] [emoji125][emoji23] [emoji23] [emoji23] Hata msihangaike na mshiki wako,hakuna chochote alicholishwa zaidi ya nyama ya ulimi