JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Darasa la watu wawili mmoja akiwa mwanafunzi na mwingine mwalimu linaboa sana, kuwa mwalimu haimaanishi unajua everything, kuna vitu vipya tunajifunza kwa wanafunzi pia[emoji125]
Ndio maana nimeamua kuongeza mwanafunzi mwingine ktk darasa nitakalo kufundisha. Chaajabu naona kama mnakwepana yaani hampendi kukaa darasa moja [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Tafadhali usije ukanigombanisha na mshiki wako maana hana hizi habari za uanafunzi wa my love wake [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Wacha weeh, umesahau mlivyokua mnapanga mikakati ya kuniengua alafu liingizwe toleo jipya tena bure kabisa[emoji40]
Mshiki tafadhali kuwa makini kuna Moshi pande hii, moto uu njiani kuja[emoji125]
 
Kwa kweli akili yangu nyembamba sana....huwa sielewagi chochote [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hahaha ni matumaini yangu mpaka baadae, asubuhi utakuta akili ishakua nene, usisahau kumjibu tafadhali[emoji40] [emoji125] [emoji125]
 
Wacha weeh, umesahau mlivyokua mnapanga mikakati ya kuniengua alafu liingizwe toleo jipya tena bure kabisa[emoji40]
Mshiki tafadhali kuwa makini kuna Moshi pande hii, moto uu njiani kuja[emoji125]
Huu uchochezi si wa njii hii (in Mrema's voice) Hilo jicho lako la 3 linakudanganya
 
Hili ukilifanikisha,nakuahidi kuwa nitahakikisha majaribio ya tongozo yanaanzia kwako.
Ila kuhusu ada itabaki palepale [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hahaha dadeki, itakua ulizaliwa kipindi ambacho mfumo wa butter trade unakufa ndo tunaingia mfumo wa pesa kama medium of exchange[emoji57]
 
Ndio maana nimeamua kuongeza mwanafunzi mwingine ktk darasa nitakalo kufundisha. Chaajabu naona kama mnakwepana yaani hampendi kukaa darasa moja [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha bundi Thad bhana, hivi umewahi kuona wapi mwanafunzi wa elimu bila malipo akachanganywa na anayelipa ada, hii inawezekana kweli?
Nakataa kuwa Kaa. [emoji40] [emoji125]
 
Hahaha dadeki, itakua ulizaliwa kipindi ambacho mfumo wa butter trade unakufa ndo tunaingia mfumo wa pesa kama medium of exchange[emoji57]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hapana mkuu mi nilizaliwa kipindi cha njaa kali iliyosababishwa na nzige,ndio maana hata akili yangu nyembamba ilikosa lishe ya kutosha
 
Huu uchochezi si wa njii hii (in Mrema's voice) Hilo jicho lako la 3 linakudanganya
Ila hunter sio wa mchezo mchezo kwakweli, yeye huwa anawinda live na wala mshiki hashtuki, hapa kuna kitu amelishwa sio bure[emoji40]
Ngoja akija kwenye kikao December tutashughulikia hilo jambo[emoji41] [emoji125]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hata msihangaike na mshiki wako,hakuna chochote alicholishwa zaidi ya nyama ya ulimi
 
Aisee huu ni muda wa maombi yenye nguvu....wacha nitete kwanza na Muumba wangu,nimkumbushe ahadi zake kwangu
Maana anasema "Njooni tusemezane....."
 
Anhaaah! Kumbe tatizo lako ni ada unayotozwa...si ungesema sasa? (in brother K 's voice)
Hahaha naona umeamua kupiga U-turn ya ghafla, wacha nilipe tu ada kuliko nikakaa na hunter chumba kimoja cha darasa,[emoji40]
We huoni hunter mwenzake anavyougulia maumivu baada ya kugundua Shem, Shem kumbe wazima taa.[emoji40][emoji125]
 
Back
Top Bottom