Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,380
- 31,566
Ndio maana nimeamua kuongeza mwanafunzi mwingine ktk darasa nitakalo kufundisha. Chaajabu naona kama mnakwepana yaani hampendi kukaa darasa moja [emoji23] [emoji23] [emoji23]Darasa la watu wawili mmoja akiwa mwanafunzi na mwingine mwalimu linaboa sana, kuwa mwalimu haimaanishi unajua everything, kuna vitu vipya tunajifunza kwa wanafunzi pia[emoji125]