JamiiForums Usiku wa manane

Embu nisaidie kumetokea nini leo mbona kila mtu akicomment unaona aina ya cm yake?
Kwako hamna. Vipi kwangu ipo??
Hiyo ni signature usipoweka off inatokea aina ya simu unayotumia. Lakini pia badala ya kuona aina ya simu unaweza edit ukaandika chochote .
 
Oh no!
 
Embu nisaidie kumetokea nini leo mbona kila mtu akicomment unaona aina ya cm yake?
Hatamimi nashangaa nilizani kunasehem nimejiconect bilakujua.

Kumbe na wengine pia.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Kwako hamna. Vipi kwangu ipo??
Hiyo ni signature usipoweka off inatokea aina ya simu unayotumia. Lakini pia badala ya kuona aina ya simu unaweza edit ukaandika chochote .
Mie nimejaribu kuitoa, kwako naona tecno j8 kwa baadhi ya comments, comments zingine haitokei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…