Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 9,679
- 39,087
Wewe utajuaje utakuwa ni mtoto wa magorofani.Sikujua! Asante kwa darasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe utajuaje utakuwa ni mtoto wa magorofani.Sikujua! Asante kwa darasa
Lala salama mkuuJamani ngoja nijaribu naona kama ukakasi unaanza kuisha machoni.
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Ndiyo.Umeuona..
nipo aseeSana Tu,Nambie Best.
Hahahaha
Kwako hamna. Vipi kwangu ipo??Embu nisaidie kumetokea nini leo mbona kila mtu akicomment unaona aina ya cm yake?
Oh no!Hamna zaidi ya kuku, nilikuwa na paka akazingua sikumoja nikamtiakwenye kiloba wakati naenda Shamba nikamtupa katikati ya vichaka huko porini sehemu ambapo hakuna nyumba hata moja sijui anaishije huko saizi.
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Utakomaaa
Hatamimi nashangaa nilizani kunasehem nimejiconect bilakujua.Embu nisaidie kumetokea nini leo mbona kila mtu akicomment unaona aina ya cm yake?
Poa mkuu ngoja nijaribu.Lala salama mkuu
Mie nimejaribu kuitoa, kwako naona tecno j8 kwa baadhi ya comments, comments zingine haitokeiKwako hamna. Vipi kwangu ipo??
Hiyo ni signature usipoweka off inatokea aina ya simu unayotumia. Lakini pia badala ya kuona aina ya simu unaweza edit ukaandika chochote .
Embu nisaidie kumetokea nini leo mbona kila mtu akicomment unaona aina ya cm yake?