JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

images
 
Embu nisaidie kumetokea nini leo mbona kila mtu akicomment unaona aina ya cm yake?
Kwako hamna. Vipi kwangu ipo??
Hiyo ni signature usipoweka off inatokea aina ya simu unayotumia. Lakini pia badala ya kuona aina ya simu unaweza edit ukaandika chochote .
 
Hamna zaidi ya kuku, nilikuwa na paka akazingua sikumoja nikamtiakwenye kiloba wakati naenda Shamba nikamtupa katikati ya vichaka huko porini sehemu ambapo hakuna nyumba hata moja sijui anaishije huko saizi.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Oh no!
 
Embu nisaidie kumetokea nini leo mbona kila mtu akicomment unaona aina ya cm yake?
Hatamimi nashangaa nilizani kunasehem nimejiconect bilakujua.

Kumbe na wengine pia.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Kwako hamna. Vipi kwangu ipo??
Hiyo ni signature usipoweka off inatokea aina ya simu unayotumia. Lakini pia badala ya kuona aina ya simu unaweza edit ukaandika chochote .
Mie nimejaribu kuitoa, kwako naona tecno j8 kwa baadhi ya comments, comments zingine haitokei
 
Back
Top Bottom