JamiiForums Usiku wa manane

Hahaha naona umeamua kupiga U-turn ya ghafla, wacha nilipe tu ada kuliko nikakaa na hunter chumba kimoja cha darasa,[emoji40]
We huoni hunter mwenzake anavyougulia maumivu baada ya kugundua Shem, Shem kumbe wazima taa.[emoji40][emoji125]
Njoo uthibitishe hili dai lako mbele ya Joseverest [emoji40] [emoji40] [emoji40]
 
Hahaha, wacha weeh, nionjeshe basi na mimi hiyo nyama ya ulimi, angalau kakipisi kadogo tu[emoji85] [emoji85] [emoji125]
Nikikuonjesha utabadilisha kabila bure....utataka uwe wa kabila langu wakati kabila langu tumejaa mpaka tunauzana ili tupungue kidogo [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Amen, amen, amen.
Na maombi yafanyike kwa ajili ya wote, zaidi kwa walio wachochezi na wenye tamaa kwa wake/waume wa jirani zao.[emoji120] [emoji125]
Hakika hili nililifanyia kazi, sasa hivi hakuna mwenye kumtamani mwenzie....hata mke na mume hawatamaniani tena hapa [emoji12] [emoji12] [emoji12]

Cc jje's & Kichwa Kichafu
Neybright & Joseverest
Baba na mama Chanja
 
Chunga tamaa mbaya[emoji445] [emoji445] [emoji441]
Chunga tamaa mbaya[emoji445] [emoji445] [emoji441]

Hivi kijana aliyeimba hii nyimbo siku hizi kapotelea wapi vile?
 
Acha ukorofi ThaD jamani. Hii ni mida takatifu kwetu. Njoo ngomani tucheze!
Bila shaka una unasaba na wale jamaa waliogawa kondomu kwa watz wenye njaa zao,tutachezaje ili hali matumbo yameangukia migongo? Huoni sikuhizi hata bundi muasisi No Escape haonekani hapa? Njaa inatulaza mapema siku hizi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…