JamiiForums Usiku wa manane

[emoji122] [emoji122] [emoji122] kumbe una kumbukumbu nzuri.

nakumbuka hiyo mechi ilikuwa ya kukata na shoka. Kwa mara ya kwanza nilienda kuishuhudia pale uwanja wa taifa
 
Bila shaka unakunywa balimi ya 12 ndio maana umeweza kutupiamo ka brokeni inglish [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nitake radhi tafadhali, ujue Niko kwenye mfungo wa majilio, ila sio kesi nishakusamehe.
Kesheni mkiomba kwa maana hamjui siku wala SAA atakapokuja mwana wa adamu.[emoji125]
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] kumbe una kumbukumbu nzuri.

nakumbuka hiyo mechi ilikuwa ya kukata na shoka. Kwa mara ya kwanza nilienda kuishuhudia pale uwanja wa taifa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Lol!

Mimi niliishuhudia kwenye uwanja wa nyumbani kwenye TV
 
Inatakiwa tuwachanganye ili akili zao zichanganye tupate akili moja iliyo bora halafu tutawagawia wote tena
Ohoooh, ukitaka darasa liwe kama Somalia, waweke sehemu moja mkuu, alafu Thad bila bakora haelewi kabisa lakini jje's kidogo ni mtulivu wala haitaji bakora[emoji125]
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] kumbe una kumbukumbu nzuri.

nakumbuka hiyo mechi ilikuwa ya kukata na shoka. Kwa mara ya kwanza nilienda kuishuhudia pale uwanja wa taifa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hii bila shaka ni bombadia ya 12 ya offer imeongea sio wewe[emoji41] [emoji12]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja nikuandalie mlungula ili siku ya kutugawia hizo akili mimi unipe nyingi( 3/4) na jje's umpe ndogo (1/4)
Hahaha nikafikiri na kukaa kote boarding mirembe tunakusaidia kumbe ndo tumekupoteza kabisa, si umesema wivu umeisha kitambo huu sasa umetokea wapi?[emoji57] [emoji125]
 
Siku nikipata mwl.mpya nitaenda bbc kutangaza madhaifu yako yote....we subiri tu [emoji40] [emoji40] [emoji40]
Ohoooh huku tumefika mbali sana, basi tufanye kesho uwahi darasani kuna zawadi yako nzuri nimekuandalia[emoji39]
Wewe nae hutaniwi[emoji12] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…