Hahahaaa piga ua garagaza hao wahawezi acha kwenda Moshi mwisho huu wa mwaka. Wenyewe wanakwambia huwa wanajiandaa na usajili miezi kadhaa kablaUsajili wa mwaka huu sijui utakuwaje huko moshi
Na hali ilivyo kuwa tete namna hiiHahahaaa piga ua garagaza hao wahawezi acha kwenda Moshi mwisho huu wa mwaka. Wenyewe wanakwambia huwa wanajiandaa na usajili miezi kadhaa kabla
Ni kweli ila kwa wanywaji tunajua ni jinsi gani tunaondoa streses aah[emoji4] [emoji4]Japo sio kila kikao cha kwenye starehe huondoa stress....sometimes ni kujiongezea stress tu
Safiri salama best!Ndugu yangu thad ngoja nikuache. Kesho nina kasafari. Usiku mwema
Adios mkuuSafiri salama best!
Wacha na mimi nijilaze,ningoje kupambazuke ili nikatange na njia,mkono upate kwenda kinywani
Hongera kwa kutufungulia geti leoPopoz nafungua geti muda muafaka umefika
Asante! Kwema?Hongera kwa kutufungulia geti leo
Kwema mkuu sijui wwAsante! Kwema?
Usijali mpendwaTafadhali na mimi mnikumbuke kwenye ufalme wenu [emoji4] [emoji4] [emoji4]
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Nleterewa Nganengo
Neybright
Kichwa Kichafu
Maserati
jje's
Manga ML
No Escape
Inna
Mwifwa
Joseverest
Na wengineo.....
Njooni tusherehekee uhuru wa Tanganyika yetu!
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]