napita tu nakwenda kulalaWhea ayu goingii
watakueskoti hadi majira ya 10
watakueskoti hadi majira ya 10
KabisaaaHii ndo mida sasa original ya popoo
Pole Sana.Npo zangu arusha stand muda huu nimelala chini safar ya kutoka kigoma mpaka mishi sio mchezo aseee
Sorry.[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hivi kumbe tuko huru, au me ndo sijui maana ya Uhuru. Nimekuhamu sana mwanafunzi wangu mtukutu.[emoji39] [emoji125]
Polen na kaz mkuu mimi ndo nasukuma balim zangu hapa kwa mgosisie madereva wa daladala ndio tunapaki magari ccm
time hizi napanga nikawangie wapiAman iwe nanyi wakuu
Hii ni mida ya wanga, mida hii ni mizur sana aisee
Wachawi kwa sasa ndo wanafanya yao
vibaka kwa sasa ndo wametega
Wasomi kwa sasa ndo wanasoma na kubukua
Wanandoa kwa sasa ndo wanagegedana.
Majambaz kwa sasa ndo wanapanga mipango yao
Masodier kwa sasa ndo wako lindo
Karibu sana wewe kwa sasa unafanya nini?
Ikifika mida ya wanga hufanyaga kitu gan?
Njoo tupige story japo tuisukume hii night kali
LONDON BABY
Thibitisha kauli yako kwa matendo matatu tu [emoji39] [emoji39][emoji15] [emoji15] [emoji15] Nimekuhamu sana mwanafunzi wangu mtukutu.[emoji39] [emoji125]
Kweli bongo ni shida,mimi huku niliko asubuhi sisimizi, mchana nzi, usiku mbuNgoja nipak lori langu sasa manake mchana tochi usiku magogo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi madereva wenzako wa upinzani nao wanapakigi magari ccm?sie madereva wa daladala ndio tunapaki magari ccm
Ukute wewe ndo mwanga niliyekuona hapa kwangu dakika chache zilizopita....time hizi napanga nikawangie wapi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Natuma salamu kwa
1. Neybright na baby wake Joseverest
2. jje's na kipenzi chake Kichwa Kichafu
3. Maserati na baba chanja wake Manga ML
4. No Escape na bundi mzoefu alibakari
5. Walimu wangu Nleterewa Nganengo na Mwifwa
UJUMBE: Heri kelele za adui kuliko ukimya wa rafiki [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]