JamiiForums Usiku wa manane

Hakika ardhi ni mali naona vijana wa zamani waliowekeza kwenye ardhi wanafaidi uwekezaji wao.
 
Hakika ardhi ni mali naona vijana wa zamani waliowekeza kwenye ardhi wanafaidi uwekezaji wao.
Kweli Mkuu

Kama una nafasi Jenga nyumba za Kupangisha za kutosha tu

Ukifika Uzeeni hutahitaji kuwasumbua watoto wako wakutumie hela ya Matumizi.

Utajikuta unapata meseji Kila Mwezi za wapangaji kukutumia Kodi zako tu

Wakati huo utakuwa unacheza golf na Wazee wenzako viwanja vya Gymkhana huku unakula totozi moja ya viwango kutoka hapo IFM 😜

Tafadhali usiizingatie hiyo Aya ya mwisho nimeandika kuchagiza tu 😜
 
Hiyo haya ya mwisho ndio ya kuzingatia πŸ˜‚
Navopenda totoz ngoja nizisake kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…