JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Ardhi pekee ndiyo huwa haishuki thamani

Kiwanja kinachouzwa Kigamboni 15M leo hii, baada ya miaka 20 mbele kinaweza kuuzwa 100M

Kama umri wako una ruhusu, usiache kuwekeza kwaajili ya Uzee wako

Sisi wengine tumebaki kuwategemea Wajukuu Kwa Kila jambo maana hatukujipanga enzi za Ujana wetu 🙌
Hakika ardhi ni mali naona vijana wa zamani waliowekeza kwenye ardhi wanafaidi uwekezaji wao.
 
Kweli Mkuu

Kama una nafasi Jenga nyumba za Kupangisha za kutosha tu

Ukifika Uzeeni hutahitaji kuwasumbua watoto wako wakutumie hela ya Matumizi.

Utajikuta unapata meseji Kila Mwezi za wapangaji kukutumia Kodi zako tu

Wakati huo utakuwa unacheza golf na Wazee wenzako viwanja vya Gymkhana huku unakula totozi moja ya viwango kutoka hapo IFM 😜

Tafadhali usiizingatie hiyo Aya ya mwisho nimeandika kuchagiza tu 😜
 
Hiyo haya ya mwisho ndio ya kuzingatia 😂
Navopenda totoz ngoja nizisake kwanza.
 
Back
Top Bottom