JamiiForums Usiku wa manane

Principal inayotumiwa kwenye joint venture business ni kuto-aminiana isipokuwa Kwa written docs ambayo itawa-guide kwamba nani ana nini na yupi ameweka nini kisheria.

Ikitokea mmoja amefariki basi Mkataba utawaongoza kwenye kugawana Kwa mujibu wa shares
 
Kama kupitia hiyo nyimbo Mkwe hajakuekewa basi mtume njiwa akupelekee hizo salamu πŸ€—

01:56AM
 
Namaanisha Hawa matajiri huwa Wana jilinda vipi, imagine u a Anza ingiza 10 m per day.
Hauwezi windwa na maadui??,

Security ya watoto na familia Ina kaa vipi??, Mimi nilipo hata mtu aki pita mbali na kwangu najua πŸ˜‚πŸ˜€
 
nimemtuma njiwa ila ameliwa yeye na salam nilizo zituma[emoji17][emoji23]
Hahaha ......pole sana Mjukuu

Nina njiwa wangu namkodisha, fanya kunitumia maokoto nikukodishie umtume huko

Uzuri wa huyu njiwa wangu, anajua kusoma hivyo akifika eneo la tukio ni anasoma ujumbe chapu na haraka kabla hajapigwa manati 😜
 
Namaanisha Hawa matajiri huwa Wana jilinda vipi, imagine u a Anza ingiza 10 m per day.
Hauwezi windwa na maadui??,

Security ya watoto na familia Ina kaa vipi??, Mimi nilipo hata mtu aki pita mbali na kwangu najua πŸ˜‚πŸ˜€
Matajiri wengi wanatunza fedha zao Benki

Ni wachache sana ndiyo hukaa na Fedha ndani

Ulinzi upo, ule unaonekana Kwa macho na ule mwingine πŸ˜…
 
Hahaha ......pole sana Mjukuu

Nina njiwa wangu namkodisha, fanya kunitumia maokoto nikukodishie umtume huko

Uzuri wa huyu njiwa wangu, anajua kusoma hivyo akifika eneo la tukio ni anasoma ujumbe chapu na haraka kabla hajapigwa manati [emoji12]

babuu yani unataka kumchuna mpka mjukuu wako kweliii[emoji23][emoji23] we nipe huyo njiwa nikifanikiwa nakuletea blanketi na mkoti wa babu[emoji847]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…