Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Principal inayotumiwa kwenye joint venture business ni kuto-aminiana isipokuwa Kwa written docs ambayo itawa-guide kwamba nani ana nini na yupi ameweka nini kisheria.Huwa nawaza matajiri Wana lalaje??, hasa wale wenye umoja.
Maana- Kuna kusalitiana, kuibiwa na Hata kufanyiana umafia mwingine.
mfano Mimi huwa nawaza kila Jambo ninalo fanya, from the first to the last process.
Siku Niki zishika SI ndo nita wa hack watu ili niwe na over see kila wanacho fanya 😂😀
Asante Mkuu, hapa nimenunua blanket 3 na zote najifunika kuogopa baridi 😜Polee sana babu
Kama kupitia hiyo nyimbo Mkwe hajakuekewa basi mtume njiwa akupelekee hizo salamu 🤗[emoji445][emoji445][emoji444] utani kama utani tulianza kimasihara sikudhani sikudhani yatafikia mahala akiwa hapatikani hapaliki sijalala kanifanya kitu gan mbon imekua imara..... tukikoswa stuli ni sunna kula kweny mkeka,, unijue vizuri nikinuna mie ndo nadeka[emoji23] usije dhani kiburi uniache nikaja kuchekwa[emoji2960][emoji2957][emoji444][emoji444]0100
Namaanisha Hawa matajiri huwa Wana jilinda vipi, imagine u a Anza ingiza 10 m per day.Principal inayotumiwa kwenye joint venture business ni kuto-aminiana isipokuwa Kwa written docs ambayo itawa-guide kwamba nani ana nini na yupi ameweka nini kisheria.
Ikitokea mmoja amefariki basi Mkataba utawaongoza kwenye kugawana Kwa mujibu wa shares
Kama kupitia hiyo nyimbo Mkwe hajakuekewa basi mtume njiwa akupelekee hizo salamu [emoji847]
01:56AM
Hahaha ......pole sana Mjukuunimemtuma njiwa ila ameliwa yeye na salam nilizo zituma[emoji17][emoji23]
Matajiri wengi wanatunza fedha zao BenkiNamaanisha Hawa matajiri huwa Wana jilinda vipi, imagine u a Anza ingiza 10 m per day.
Hauwezi windwa na maadui??,
Security ya watoto na familia Ina kaa vipi??, Mimi nilipo hata mtu aki pita mbali na kwangu najua 😂😀
Hahaha ......pole sana Mjukuu
Nina njiwa wangu namkodisha, fanya kunitumia maokoto nikukodishie umtume huko
Uzuri wa huyu njiwa wangu, anajua kusoma hivyo akifika eneo la tukio ni anasoma ujumbe chapu na haraka kabla hajapigwa manati [emoji12]
Niko naangalia live, nyumba za p Diddy zime vamiwa na ma polisi aiseeMatajiri wengi wanatunza fedha zao Benki
Ni wachache sana ndiyo hukaa na Fedha ndani
Ulinzi upo, ule unaonekana Kwa macho na ule mwingine 😅