Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Subhanallahumesema umeslim sababu ya mke? sio kwamba umeunga mkono imani, sasa nafsi tena itakuaje umesaliti? anyway sio kwa umuhimuππππ
02:14 am
Kiuno kigumuππ€£
Umechelewa wewe tu mwenyekit wenu tayariππππππππNahisi Kama nataka kuoa hivi, halafu nakumbuka mi ni katibu mwenezi wa kataa ndoaπ€£π
π€£πππKiuno kigumuππ€£
Number 4 nzuri sanaKila Niki sikiliza hizi Nyimbo, hamu ya kutongoza Ina ishaga kabisa.
01,Kafia gheto by Hussle machozi.
02, Sitaki Dem - juma nature
03, Ina niuma Sana - juma nature
04, starehe by ferooz.
05, yalaa by ras lion ft John woka ππ€
Ume danganywa π, mwenyekiti kaenda kwenye kikao Cha kataa ndoa international festival π€£Umechelewa wewe tu mwenyekit wenu tayariππππππππ
Hapa hakuna Mlinziππ€£, kakae kule Kwa kina Shadow7 na Kichwa Kichafu madalali wenzio02:18 Mwanga wa simu umenichosha na macho makavu
Mke anatoka kwa Bwana, ukitafuta kwa utashi wako peke yake utarudi na ushuhuda wa kuupa uhai chama chenu cha kataa ndoaππππKila Niki sikiliza hizi Nyimbo, hamu ya kutongoza Ina ishaga kabisa.
01,Kafia gheto by Hussle machozi.
02, Sitaki Dem - juma nature
03, Ina niuma Sana - juma nature
04, starehe by ferooz.
05, yalaa by ras lion ft John woka ππ€
Najua Hilo, Sema Nikiwa tayari nita Sema tuππ€£Mke anatoka kwa Bwana, ukitafuta kwa utashi wako peke yake utarudi na ushuhuda wa kuupa uhai chama chenu cha kataa ndoaππππ
Siku makalai yakinizidi hutokua unaniona hapaHapa hakuna Mlinziππ€£, kakae kule Kwa kina Shadow7 na Kichwa Kichafu madalali wenzio
Makarai, nipe deal niwe mhasibuππ€Siku makalai yakinizidi hutokua unaniona hapa