JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Aisee walio oa wake wenye akili na sura nzuri wana faidi.

Imagine una mwamsha aka kuletee juice kwenye fridge, Kisha ana Rudi na nyama ilio kaangwa kwenye ki sauce😆😆🤒
 
Kila Niki sikiliza hizi Nyimbo, hamu ya kutongoza Ina ishaga kabisa.

01,Kafia gheto by Hussle machozi.
02, Sitaki Dem - juma nature
03, Ina niuma Sana - juma nature
04, starehe by ferooz.
05, yalaa by ras lion ft John woka 😆🤒
Mke anatoka kwa Bwana, ukitafuta kwa utashi wako peke yake utarudi na ushuhuda wa kuupa uhai chama chenu cha kataa ndoa😃😃😃😃
 
Back
Top Bottom