JamiiForums Usiku wa manane

Maisha na siku zetu hapa duniani jiran yangu AMEFARIK saa mbili muda wa taarifa ya habari
Namkumbuka mzee huyu alikua mwingi wa MAARIFA na alipenda kuja kunijulia Khali maana nilipata ajari na kuvunjika mguu wangu wa kushoto still now nipo na recovery nimesha Anza mazoezi ya kukanyagia mguu..

Mzee kakutwa AMEFARIK ndani kwake usiku huu na mkewe still ndio wanashuhurikia kwenda ku uhifadhi mwili wake muda huu
 
So bad bro, I hate death sema ndo promised dream ambayo kila mtu ata fanikiwa ifikia au pata.

Roho ya marehemu ipumzike kwa amani.
Pole kwa wafiwa na majirani pia.
 
Poleni sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…