Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣 Mxieeee huna idadi ya pad ya kujifanya umevuka udamsel , nimekusoma sehem 2005 ndo unananiliu, senz wwe🤣🤣🤣🤣🤣 unatakiwa unaniomba ruhusa kwanza ya kuongeaNa kuzaa wewe nikiwa nakimbia
Ni wapi tena nmeandika huo uongo jamani😂😂Nakuzaa huku narukaruka🤣🤣🤣🤣🤣 Mxieeee huna idadi ya pad ya kujifanya umevuka udamsel , nimekusoma sehem 2005 ndo unananiliu, senz wwe🤣🤣🤣🤣🤣 unatakiwa unaniomba ruhusa kwanza ya kuongea
Kuna kabint kananipenda sana,,ila tukipishana kidogo anataka tuachane.....Ukiachwaaaaa achikaaaaaa
Both team to score😊Kuna kabint kananipenda sana,,ila tukipishana kidogo anataka tuachane.....
Kitaalam ipo vip wakuu.
Sikutaka nikushtue nikasema ngoja my dogo nimwache na utawala wakeNi wapi tena nmeandika huo uongo jamani😂😂Nakuzaa huku narukaruka
So bad bro, I hate death sema ndo promised dream ambayo kila mtu ata fanikiwa ifikia au pata.Maisha na siku zetu hapa duniani jiran yangu AMEFARIK saa mbili muda wa taarifa ya habari
Namkumbuka mzee huyu alikua mwingi wa MAARIFA na alipenda kuja kunijulia Khali maana nilipata ajari na kuvunjika mguu wangu wa kushoto still now nipo na recovery nimesha Anza mazoezi ya kukanyagia mguu..
Mzee kakutwa AMEFARIK ndani kwake usiku huu na mkewe still ndio wanashuhurikia kwenda ku uhifadhi mwili wake muda huu
Poleni sana mkuuMaisha na siku zetu hapa duniani jiran yangu AMEFARIK saa mbili muda wa taarifa ya habari
Namkumbuka mzee huyu alikua mwingi wa MAARIFA na alipenda kuja kunijulia Khali maana nilipata ajari na kuvunjika mguu wangu wa kushoto still now nipo na recovery nimesha Anza mazoezi ya kukanyagia mguu..
Mzee kakutwa AMEFARIK ndani kwake usiku huu na mkewe still ndio wanashuhurikia kwenda ku uhifadhi mwili wake muda huu
Basi ngoja nirudishe hii anti tank yangu, kwenye shelf yake😆😂.Leo fanyeni kama mmenisusia lindo
Tulia wewe😁Basi ngoja nirudishe hii anti tank yangu, kwenye shelf yake😆😂.
Ila tuki vamowa lazima niku Kate hicho kipara.
Kitendo Cha Mimi kurudisha anti tank, na una jua ma pilot wa f35 hatuna.Tulia wewe😁
Yaan,So bad bro, I hate death sema ndo promised dream ambayo kila mtu ata fanikiwa ifikia au pata.
Roho ya marehemu ipumzike kwa amani.
Pole kwa wafiwa na majirani pia.
Asante SanaaPoleni sana mkuu
Yap men, una jua most resilient parasite ni ipi??Yaan,
Ukikifikilia kifo huwezi fanya chochote