JamiiForums Usiku wa manane

Daah πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
Nimekosa usingizi kabisa mpaka sasa....

Kitakacho tokea ni kuextends mda wa kulala..

Ntalala mpaka sa tisa jioni hivi. hapo nitakua nime save sana maswala ya msosi wa asubuhi na mchana.

Hivo basi tutakutana tena cafe sa 10 jioni...

Wali 2.5k
Matunda 0.5k
Maji 1k
Jumla 3k

Nisipo nunua trekta/bajaji mwaka huu basi kuna mkono wa mtu kmmke
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Santo sana in dada yangu Mahondaw voice sisi ndio Yanga SC πŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ–€πŸ–€
Kam kauwaaaaaa πŸ’šπŸ’›πŸ–€πŸ’ͺπŸ’ͺ!

Yanga daima mbeleeeee πŸ•Ί!

BTW Wale wa Dominika misa ya kwanza ndio mida hii! Tujage!

06:05 AM

Cc Smart911
 
Huyu angekua kule kwetu ungesikia "...tundika hapo..."
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Madoso yote nilikua nayahimili ila lakutundikaπŸ€”πŸ€” yesu wangu bado linanijia ndotoni kama nightmare napiga kelele πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mazuri sana na yanachekesha ukiona anafanyiwa mwenzako ukiona miguu na mikono inavyotetemeka sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ halafu unaambiwa kula maishaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…