Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu. Hata Roma Mkatoliki aliomba kususiwa 😁😁🏃🏿♂️🏃🏿♂️Leo fanyeni kama mmenisusia lindo
Kam kauwaaaaaa 💚💛🖤💪💪!Santo sana in dada yangu Mahondaw voice sisi ndio Yanga SC 💚💚💚💚💚💚💚💚💚🖤🖤
Lindo muhimu comrade... karibu sana lindoniSawa mkuu. Hata Roma Mkatoliki aliomba kususiwa 😁😁🏃🏿♂️🏃🏿♂️
Leo nimetoboa lindoni. Wapi makofi jamani? 👏👏👏
View attachment 2969574
Eti wanalugwadu,,🤣🤣🤣Si kijiji Cha pwani huko wanajiita toangomakumbe wanyangende pia wapoooo😂😂😂 basi familia ni kubwa sana hii
🤣😁😁😁Huyu angekua kule kwetu ungesikia "...tundika hapo..."
Uwe unakunywa gahawa kidogoNimekuwa mvivu kweli
😂😂 nimecheka sana mkuuEti wanalugwadu,,🤣🤣🤣Si kijiji Cha pwani huko wanajiita toangoma
Umetisha😂😂 nimecheka sana mkuu
😂😂😂 Madoso yote nilikua nayahimili ila lakutundika🤔🤔 yesu wangu bado linanijia ndotoni kama nightmare napiga kelele 😂😂😂Huyu angekua kule kwetu ungesikia "...tundika hapo..."
Kuna afande mmoja alikua anasema hilo halina mjanja hata komandoo atatoa ukunga 😂😂😂Haha hili doso dakika tano nyingi umeshasema yote
😂😂😂😂😂😂😂 Mazuri sana na yanachekesha ukiona anafanyiwa mwenzako ukiona miguu na mikono inavyotetemeka sasa 😂😂😂 halafu unaambiwa kula maisha😂😂😂Haha hilo halina cha komando, Brigedia au nani wote scale ni ile ile. Kuna kipindi warundi walivuka kwao kule wakaingia kambini bila wao kufahamu wako kambini.. zikarushwa risasi kadhaa bahati nzuri wakaishiwa. Tukawaleta Main campus Haha sidhani kama watalisahau hili zoezi
Sawa🥴Uwe unakunywa gahawa kidogo
Hahahaa utaua mtu atakosa usingizi x3 daysUwe unakunywa gahawa kidogo