JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Leo fanyeni kama mmenisusia lindo
Sawa mkuu. Hata Roma Mkatoliki aliomba kususiwa 😁😁🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️

Leo nimetoboa lindoni. Wapi makofi jamani? 👏👏👏

downloadfile-74.jpg
 
Daah 🤔🤔🤔🤔
Nimekosa usingizi kabisa mpaka sasa....

Kitakacho tokea ni kuextends mda wa kulala..

Ntalala mpaka sa tisa jioni hivi. hapo nitakua nime save sana maswala ya msosi wa asubuhi na mchana.

Hivo basi tutakutana tena cafe sa 10 jioni...

Wali 2.5k
Matunda 0.5k
Maji 1k
Jumla 3k

Nisipo nunua trekta/bajaji mwaka huu basi kuna mkono wa mtu kmmke
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Haha hilo halina cha komando, Brigedia au nani wote scale ni ile ile. Kuna kipindi warundi walivuka kwao kule wakaingia kambini bila wao kufahamu wako kambini.. zikarushwa risasi kadhaa bahati nzuri wakaishiwa. Tukawaleta Main campus Haha sidhani kama watalisahau hili zoezi
😂😂😂😂😂😂😂 Mazuri sana na yanachekesha ukiona anafanyiwa mwenzako ukiona miguu na mikono inavyotetemeka sasa 😂😂😂 halafu unaambiwa kula maisha😂😂😂
 
Back
Top Bottom