JamiiForums Usiku wa manane

Pamoja Sana Brother πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Tena Kwenye Tribulation Mule Dizasta Vina Ameibaka Beat Hadi Vina.

Na Mule Kuna Maneno Na Vocabulary Nyingi Zinazohitaji Dictionary Ya Kuichambua Hip/Hop
Kaka naomba nielekeze huu mstali
02:26 TRIBULATION

""Fix your vocabulary you can read more,
A good poet is the Master of all big words,
Hata uishi juu ya kilele the entire system,
Ntabaki mwenye info elephantiasis.

Naomba ufafanuzi hapo kwa bold maana daah
 
Kichwa Kichafu
Kuna sehemu hapa kwa Tribulation
03:53.

Kama anaongea na ile radio call anasema
Who told you to come aboard? Over
Mission compromise abort?Over
Corporal you not alone and you don't grow, over
Go Master your bets couse you don't flow proper


Hapa skuelewa lengo ka kuweka hii sytle
 
Mi nimeamka saa6 nip zangu machinjion nasomba damu ya ngombe kwa ajili ya kutengeneza chakula cha mifugo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…