Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 1,012
- 2,317
Shadow7 yupo serious kumfuatlia mshkaji hatakama anaongopa inaonekana. Watu wapo interested na story zakeNina mwanangu ni Dokta nikamuuliza dawa ya usingizi ambayo nikinywa chap nalala . Akanitajia nikaenda pharmacy flani ya kitaani 24/h wapo open nikanunua zinauzwa kama 10 hivi kwa 2500 hivi
Nadhani ValiumNakumbuka yule dada alisema: kwenu kuna mgonjwa nn maana izi dawa wanazitumia wagonjwa (kumbe wa akili) akiwa msumbufu anapewa ili alale
Dah.. mwanangu. Hiyo pisi inaonekana mahusiano yenu anayachukulia poa sana… ukajibu nini?Kesho yake simple tu asubuhi kama saa 4 akanitext..
Morning, umeamkaje, naenda driving
Uwa anasoma driving school...
Oya nimemtezt zaidi ya msg 100, calls zaidi ya 50 ila amejibu ivo asubuhi
😀😀😃😃😃 raha ya penzi… mmoja atesekeVina muda basi, kesho yake tena mchuno ukaendelea..
Umefanya maamuzi ya kiume man.. utapata pisi ingine itakayo kuelewa wewe Kama ulivo..Kama cheleaman tu. ✌️Clearly nikajua amepata someone better than me, nimeumia sana kugiveup ila siwezi shidana, nna maisha magumu yasiongezeke kua magumu.... Nikagiveup kiswahili.. kuna watu waalisema nilinde brand nikasushe nikakausha.. ingawa nimeumia na naumia ila napambana hii vita kali..
Bro, leo Umemuona, utamuona tena siku nyingine na nyingine.. just unlearn her and move onShida ni kwamba LEO nimemuona. Tukaongea nae kama dk 20. Tumeonana by coincidence sio kwamba tulipanga.
Hayanaga muongozoKwahiyo wanangu maisha yangu ndio ayo. Napata shida kulala ila ndio ivo napitia.
Nimeweza kidogo:Bro, leo Umemuona, utamuona tena siku nyingine na nyingine.. just unlearn her and move on