JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Nakumbuka yule dada alisema: kwenu kuna mgonjwa nn maana izi dawa wanazitumia wagonjwa (kumbe wa akili) akiwa msumbufu anapewa ili alale
Nadhani Valium
Kesho yake simple tu asubuhi kama saa 4 akanitext..

Morning, umeamkaje, naenda driving

Uwa anasoma driving school...

Oya nimemtezt zaidi ya msg 100, calls zaidi ya 50 ila amejibu ivo asubuhi
Dah.. mwanangu. Hiyo pisi inaonekana mahusiano yenu anayachukulia poa sana… ukajibu nini?
 
Clearly nikajua amepata someone better than me, nimeumia sana kugiveup ila siwezi shidana, nna maisha magumu yasiongezeke kua magumu.... Nikagiveup kiswahili.. kuna watu waalisema nilinde brand nikasushe nikakausha.. ingawa nimeumia na naumia ila napambana hii vita kali..
 
Umefanya maamuzi ya kiume man.. utapata pisi ingine itakayo kuelewa wewe Kama ulivo..Kama cheleaman tu. ✌️
 
Amezidi kupendeza na kua mzuri mimi kinyume. Ingawa yeye anasema naonekana smart ila najua sio kweli kwasababu:

1. Juzi (this week) kuna wafanyakazi wenzangu wawili wamesema Mad umekua rough, umekonda na nuru imepotea..

2. Mwanzoni mwa huu mwezi pia kuna mtu sijaonana naw like 2 montths alisema same
 
Back
Top Bottom