JamiiForums Usiku wa manane

Ndio, kuna sababu mpwa.
Najitahidi sikuhizi angalau kidogo naweza pumzika hata mara moja au 2 katika wiki.

Huenda labda na kampani niliyonayo inachangia piaπŸ€”
 
Asante sana.
Najitahidi na pia nilishahudhuria sana therapy centers, ndio maana naona kidogo nina imarika.
Nimefurahi, naamini huu mwaka hautamalizika kabla haujaimarika zaidi na zaidi, ila jitahidi usiache gafla inaweza kukuumiza, lakini weka nia na jitihada, lakini ukimtanguliza Mungu.
 
Ndio, Jumatatu yangu imeenda vyema kabisa.
Na nikarudi salama kibaruani
Na mpaka sasa naendelea vyema mkuu!!!
Sijui upande wako?
Asante sana, shukrani sana kwa Mungu, nami inekua njema japo si kwa ukamilifu sana.
I'm happy for you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…