Karibu tucheze Game ya wakubwa ileSaa 7usiku eti nacheza game supermario, ile ya watoto..zaidi ya masaa mawili sasa.
Baadae nitaanza kucheza game nyingine dream legue.
[emoji102] [emoji102]Karibu tucheze Game ya wakubwa ile
XX-supermario haitumii muda mwingi
Lazima uta dream unonoo.
[emoji102] [emoji102]Nami nimeamua rasmi niwe mwan chama wa kukesha
[emoji102] [emoji102]Dah! leo sijui ntalala....yaani?
[emoji102] [emoji102]mimi nipo class nasoma, najiandaa na mtihani wa form six.PCB
[emoji23] [emoji23]np na jirani yangu wa chumba cha pili tunaangalia movie eti anapenda Indian movies.....