JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Saa 11 ufute huu uzi. Nichangie kabla hujafuta. Kwa uongozi wa Magufuli ujanja ni kuanzisha biashara mapema miaka 2 ijayo sekta binafsi italipa sana.
 
Saa 7usiku eti nacheza game supermario, ile ya watoto..zaidi ya masaa mawili sasa.
Baadae nitaanza kucheza game nyingine dream legue.
Karibu tucheze Game ya wakubwa ile
XX-supermario haitumii muda mwingi
Lazima uta dream unonoo.
 
Kama kawa club mpk sa 11,saa 12 asubuhi naingia church.
 
Huyu jirani namvutia kasi! Namuheshimu ila leo sijui km atatoka salama...
 
Back
Top Bottom