JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Nimeona uzi huu nikafarijika kupata wenzangu,maana Mm na usingizi everyday tunacheza kombolela ,I dont know why sipati usingizi[emoji31] [emoji31]
 
Yaan hapa tangia saa 9.00 nakula wwe survivor series very amizing ni live event
 
Ngoja leo nimalizie kazi zangu za ofisi hapahapa!
 
duuuh nikajua ni mie tu ndio sijalala....kumbe tupo wengiii
 
mimi usingizi umehepa naangalia cartoon RIO sasa nipo sehemu ya pili
 
Mimi na wangu tumeamua kesho tunapumzika, hivyo tupo tunatenda yote mema hakuna kulala leo. Na maongezi yamenoga haswa.
 
Back
Top Bottom