JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mkuu leo kalale,usingizi unaua
kama utakomaa bila kulala siku zote.
 
Popooooooooooooo! Wataalam wanasema usiku ndio kila kitu....
 
Mi nakata mikeka naangalia movie nasoma comments za thread mbalimbali na pia comments natoa....
 
Nipo zangu na full series white collar...baada Ya mahangaiko ya wiki nzima nimekosa usingizi kwa mawazo na changamoto mbalimbali...
 
Popoooooooooooooz! Mimba za mkesha huzaa watoto wenye Akili sana...Ndo maana tunaokesha hatufeli.
 
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmoja wapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nn kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11Asbh. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua nakunywa maji na kwenda kukojoa tu mpaka kukuche!
hapa nakula bongo fleva mpaka mwjsho
 
Kwenye kigodoro.hatariiiiio
21108f42bd6f3919dfe3103793e1769f.jpg
 
Back
Top Bottom